Tuesday, July 30, 2013

MWALIMU MKUU MPYA KALOLENI


Mwalimu Mkuu Mpya (New Headteacher) Kaloleni Primary School Ms. Rachel Kiomange supervising the finishing activities at the kitchen

(Mwl Mkuu Mstaafu - Retired Headteacher) Ms. Mary Chuo


Mwalimu Mkuu Mstaafu Mama Mary Chuo (The outgoing Head Teacher of Kaloleni Primary School)

UJENZI WA JIKO UNAENDELEA KALOLENI (KITCHEN CONSTRUCTION)


Sehemu ya nyuma  ya jiko (Back view)


Sehemu ya sakafu na ukuta ndani jikoni kuelekea stoo (Inside floor & walls)


Sehemu ya kuta za ndani kwenye stoo (Inside walls in the store area)

Eneo la stoo (Store area)


Mpishi akiwa jikoni (The cook in the kitchen) sakafu imekamilika bado jiko litakarabatiwa karibuni kubana matumizi ya kuni


Mpishi jikoni (The cook in the kitchen)


Tuesday, October 30, 2012

JIKO LAKARIBIA KUKAMILIKA KALOLENI SHULE YA MSINGI

Sasa shule ya msingi kaloleni angalau ina mahali pazuri kwa kuandalia maakuli ya wanafunzi. Hili ndilo jiko lenyewe:

WAGENI WAONDOKA BAADA YA KAZI KUBWA KALOLENI SHULE YA MSINGI

Baada ya kushirikiana na wenyeji wao, wageni waliofika shule ya Msingi Kaloleni waliondoka kwa kuagwa rasmi kwa tafrija fupi shuleni:

WAGENI WATEMBELEA WAKAZI MITAA YA KALOLENI

Ikizingatiwa kuwa urafiki kati ya Shule ya Msingi Kaloleni na Chrysalis School ya Marekani ni wa muda mrefu sasa, wageni walijisikia kutembea na kujionea wenyewe ni jinsi gani wananchi na wakazi wa Kaloleni wanavyoishi. Walitaka kujua je wanafunzi wanaosoma shule wanayoisaidia wanatoka katika makazi na maisha ya aina gani? Walipofika mtaani waliweza kujichanganya na kushiriki katika kazi walizokuta wenyeji wao wakizifanya:

JIKO LA SHULE ULIVOENDELEA SHULE YA MSINGI KALOLENI

Kwa juhudi za binafsi za uongozi wa Kamati ya Shule baada ya wageni kuondoka, kazi ya ujenzi wa jiko imeendelea na kwa sasa imefikia hatua za mwisho kama utakavyoona: